Suluhisho la vibaka,wezi na majambazi ni kufunga mifumo bora zaidi ya ulinzi saidizi wa eneo lako.
●Electric fence inakulinda dhidi ya kubaka,mwizi na jambazi atakaetaka kuruka fence yako na kuingia ndani.

●Gate motor inakulinda dhidi ya asiehusika kuingia kupitia getini kwani utatumia remoti peke au simu kufungua geti lako kwa mufa wowote unaotaka wewe.

●Cctv camera..
Hapa tunakupa suluhisho kwa kukufungia camera za ulinzi na sio za kushuhudia,Camera hizi akiingia mwizi eneo lako zitakupa ishara kupitia alarm iliyopo na utaona kupitia simu kinachoendelea,na kwa sababu mwizi hapemdi kelele basi hapa utakuwa umeokoa mali zako.
●Video door phone
Mjue mgeni wako,hapa utaongea na mgeni wako hapo hapo getini ukiwa ndani ya nyumba au hata uliwa haupo nyumbani utamuona na kuongea nae kupitia simu ya mkononi hivyo kabla ya kumruhusu kuingia ndani.
●Tunafunga mifumo ya dish tv maeneo yote (hotelini,gesti,maeneo ya bishara na nyumbani)
Tunauza,kufunga na kurekebisha mifumo yote hii maneneo yote, Kiwandani,nyumbani ama maeneo mengine ya biashara.
Tunafanya kazi mikoa yote Tanzania bara na visiwani.
No comments:
Post a Comment